Wednesday, November 16, 2011

PICHA ZA KIKAO CHA VIONGOZI JUMAPILI ILIYOPITA.



Meza ya Hazina Mimi nikiwa na Chriss
Mkuu Bagilo Jumbe akimsikiliza Mweka Hazina wa Jumuiya Dr Christoher



Dr Psosper Nguku akiwa na Gwakisa Mwenyekiti wa Kamati ya Starehe
Director Bagilo Jumbe

Big Boss Credo akimwaga wino

Mweka Hazina Mkuu wa Jumuiya Dr Chriss akikazia mada

Dr Prosper Nguku akisikiliza kwa makini..Mkanda Umeuona huo Mjomba..
Mwenyekiti wa Jumuiya Dr Rasheed Njenga..

Director wa NOBA International Bwana Bagilo Jumbe akiweka sawa..

KWA KUJUA AJENDA ZA KIKAO KILICHOPITA TUNAKUOMBA INGIA HAPA www.tanzaniasociety.co.jp


No comments:

Post a Comment