Friday, August 26, 2011

HONGERENI KWA KUPATA VIENDESHEO VYA MAGARI.

BLOG YA USWAZI INATOA GWARA KWA IMMA MCHAGA NA ALBERT MZEE SISIMA INTERNATIONAL KWA KUPATA LESENI YA KUENDESHEA MAGARI..BLOG YA USWAZI HAINA CHA KUWAPA KWA SHUGHULI NDEFU YA KWENDA NA KURUDI ANGA ZA FUTAMATAGAWA NA ATIMAE KIENDESHEO KIMETOKA.KILA LA KHELI WAZEE KARIBUNI BARABARANI....


        UMEBAKIA WEWE TU DEREVA USIYE NA KIENDESHEO HUU NI WAKATI WAKO WA KWENDA FRONT KUFUATILIA KIENDESHEO..TUNA WAOMBEA AKINA KANYE WEST,GWAKISA,CHIDI NA NYINYI MLAMBE VIENDESHEO HARAKA NA MAPEMA IWEZEKA NAVYO..


USWAZI MASTER...

No comments:

Post a Comment