Tuesday, September 20, 2011

SUCCESSFULLY AND INDEPENDENT LADY..


Da Mariam Yazawa does her Staff..

Da Mariam Yazawa ni Mtanzania pekee  hapa Japan ambaye yupo self employee na pia ni dada ambaye yupo  Independent.Blog ya USWAZI inakupa Gwara Dada yetu na tunakutakia mafanikio Mema..Mchango wako ni mkubwa sana katika shughuli za kila siku hapa Japan hasa Events,BBQ,meetings etc.Akina dada wa Kibongo tujifunze kutoka kwa Da Mariam..

GOD BLESS YOU DA MARIAM.

Posted by USWAZI Master..

No comments:

Post a Comment