Saturday, September 24, 2011

Tundaman Ft Ali Kiba - Starehe Gharama.

Hili ni bonge la song babake..hoya hoyaa kaa ukijua kwamba starehe ghalama..Tundaman ft kiba na Chege...Kwa mbali Diamond ndani humu!! Starehe ghalama kama hauna kitu tulia mjengoni usitoke..Nomaa!!

Posted by Mswazi - DSM,Tz

No comments:

Post a Comment