Chairman Rasheed,Prof Abuu Gita and Black Yellow..Prof Abuu Gita atakamua gita lake kwenye BBQ jumamosi next week..
Nani kakwambia kwamba Ngereza ana utumbo mfupi!! Cheki kazi hiyo kitu mlima..
Niwekee nyama hiyo na Samaki..Kazi hipooo
Pembe anapiga bechelive kwa mkonoo..Safi sana babu
Kipenzi cha Mama Peti..
Mama Mauuza Da Mariam..Njoo kwenye BBQ Mama muuza atakuja na Gari lake la shughuli likiwa full madiko diko..Ila kama aujatoa mchango lala nyumbani usije kutugea lawama..
Jonathan from NHK Japan..One love
Jonathan akitoa mchango wake..
Kikao kimeanza Ngereza huyoo akilonga
Jonathan akiwa na Man Zuberi..BBQ ya mwaka huu itakuwa moto mkali Man Zuberi akishirikiana na Amarido na Pro Abuu wataturusha na Marege kimtindo..
Kazi hiyoo sasa..
Amarido Charles Akichangia hoja
Hapa ulipigwa mchango wa Buku mbili mbili faster ili kununua sound ambayo itakamuliwa siku ya BBQ..Kwa bahati nzuri sound imesha nunuliwa mpya kabisa na kesho inaingia mjengoni..
Mchaga katoa Buku..Duu
Prof Abuu akitoa mchango wake..Shukrani sana mkuu karibu shughulini na tunalisubilia gitaaaaa turuke
Mmmmmh!! Hapa napo palikuwa pazito mno picha inaonyesha kabisa uhalisiaaaa
Mwenyekiti wa shughuli Gee akinikabidhi kiasi cha Yen 25000 tayari kwa kununua sound ya shughuli..
nikihesabu mapenee..Tayari sound tumesha a giza sound house na kesho mzigo unaingia mjengoni..Kumbuka ujatoa mchango kaa mbali na eneo la tukio..
TUKIWA TUMEBAKIZA SIKU KAZAA KWENDA KWENYE BBQ YA NGUVU,ASILIMIA 80 YA SHUGHULI NZIMA INAKWENDA VIZURI KABISA TUMESHAPATA NYAMA ZA KUTOSHA NA KESHO MBUZI ANAINGIA KWENYE ENEO LA TUKIO NA ALLY KANAGAWA YUPO TAYARI NA KISU CHAKE KWA KUTUNJIA MBUZI WETU..SI MBUZI TUU JAMANI NYAMA NI KIBAO MPAKA SASA KILO 54 ZA BEEF ZIPO MJENGONI NA KILO 30 ZA MDUDU ZIMESHAFIKA PIA..KITU CHA KUKU KINAINGIA KESHO NA MARASTER FARI MSIWE NA SHAKA BOKISI ZA TILAPIA TANO ZIPO KWA AJIRI YENU..KWA WALE WANAO FUNGA TUNAOMBA MAJINA YETU HARAKA IWEZEKANAVYO NA MAJINA HAYO YAWASIRISHWE KWA SHEIKH ALLY KANAGAWA TAYARI KWA FUTARI NZITO TOKA KWA MAMA MUUZA DA MARIAM.
TOA MCHANGO WAKO HARAKA IWEZEKANAVYO UJIONGE NA WENZIO SHEREHENI.
POSTED BY GEE
No comments:
Post a Comment