Wednesday, December 21, 2011

Akijimiminia kw raha zake





Furaha kila kona

Wakuu
Bwana Kijima akiwa na mama maleko

Jamaa kakata weight sio mchezo..Hongera zako Mkuu


Da Jack full kupendeza..
Maleko Family full busy
Sina cha kusema Da Jack Mi sina nguvu pia mkono wangu mfupi...WE NI MZURI
Mjomba kanagawa akiwa na Familia
Mkubwa Mussa wa Roppongi Tokyo





Dr Prosper toka EAA CO LTD akitoa utambulisho kwa mheshimiwa Balozi Mama Sijaona
Business card hiyo imeshatolewa



Chriss akiongoza shughuli

Mwenyekiti akiwasha keki ya Uhuru






Mheshimiwa balozi akiwa tayari kukata keki ya Uhuru

kameraaaa


Mama maleko kwenye Pozi..Kapendeza sio mchezo
Senkoro akiuza sura kwa Mama kavishe


mama anakata keki sasa








Mama maleko akiweka mambo sawa

nauza kwa mama
Mkubwa Mussa Busy






Shemeji akipata maji matakatifu
Mama kavishe akijiandaa kula Keki ya Uhuru
Mwanasheria Kijima akipata keki ya Uhuru toka kwa Balozi wa Tanzania Nchini Japan Mama Sijaona
Zamu ya Mama Maleko
Pozi la Mama maleko baada ya keki
Mkuu Francis Musongo akilishwa keki na bosi wake Mheshimiwa Balozi Mama Sijaona

Mama Beti nae akipata keki ya Uhuru



Tunabadilisha sahani sasa..

KAMA HAUJAONA PICHA YAKO USIWE NA SHAKA INGIA USWAZI KESHO UTAJIONA UKIUZA SURA MBELE YA KAMERA MPYA YA USWAZI BLOG..

No comments:

Post a Comment