Monday, December 19, 2011

Wimbo wa Taifa
Da mariam kwa mbali hapa kajichomeka meza kuu

Balozi wa Tanzania nchini Japan Mama Sijaona akifungua sherehe za 50 ya uhuru wa Tanzania bara
Mkurugenzi mkuu wa NOBA International Bwana Bagilo Jumbe mwenye bendera ya Tanzania akiwa na Prof Abuu Gita mwenye ki panki


Mama hapa akiimba wimbo wa Tanzania,Tanzania kwa hisia kali za furaha






Baba balozi nae akiwa mwenye furaha


Mama Sijaona akiwa na Mwebyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Japan Dr Njenga wakiongoza wimbo wa Tanzania Tanzania


Busy na iphone yake mkononi





Cheers


safiiii
Afisa wa Ubalozi mama Maleko akiwa na mzuwanda wake
Mama Beti


mheshimiwa Balozi Mama sijaona akitosi grasi ya cheers
Sharo Chidi yupo bizee

Musa huyo hapo kati tall kuliko wote
Mama kavishe anawaka na grasi kwa chati ya maji


hapa kinapigwa Kiswazi tuu


utambulisho

No comments:

Post a Comment