Sunday, December 18, 2011

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA ZAFANA NDANI YOKOHAMA PAN PACIFIC HOTEL JAPAN


Yusufu Mzee wa maji akiwa na Dj kay Dee



Mama Beti akiwa bize kuweza mambo sawa ya mapambo



Mama shughuli Da mariam






mkubwa Emir akiwa na familia


Safi mkubwa jumba neneee


Mdau Chiddy akiwa na director wa Mayemba International Hon festo
Mpangilio ukiendelea ndani ya Pan Pacific Hotel Yokohama

Akina Mama wakiwa kwenye nyuso za Furaha kabisa.kushoto Ni mtunza fedha wa Ubalozi wa Tanzania japan Mama Kavishe akiwa na mama Beti

Wageni
Mama Misa a.k.a Bahati Suzuki aki shine
JEVIC director and Miyama from HAMANASI co LTD.

Wazee wa Chiba



Mzee wa maji akiwa Afisa na afisa wa Ubalozi Bwana F Musongo

Emma akiwa na Mama

No comments:

Post a Comment