Tuesday, December 13, 2011

MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA NDANI YA AICHI PREF NAGOYA CITY


Ndani ya Nagoya
CEO wa YUNE International Director Gongori mwenye jezi ya Tanzania

Shereheni

Meza kuu ikipata huduma

Akina Dada Busy
Katibu mkuu wa CCM tawi la Nagoya bwana Martin Nguku akitoa shavu

Mambo ya kutoa shavu





Mdau akicheki feedback ya picha alizopiga

Ndugu  Wanatija , Kwa niaba  ya  Mwenyekiti wa  CCM tawi la  Nagoya  Mhe,Tostao. Ninachukua nafasi  hii  kwa  kuwashukru watu  wote  waliohudhulia  hafla  fupi  ya  kuadhimisha miaka 50  ya  uhuru  wa Tanzania Bara, Kwani ilipendeza sana na hii  inasaidia kujenga mshikamano na umoja kati  ya watanzania na mataifa mengine, kwani walikuepo Wajapan, Myanma, Uganda na mchina pia , Hafla hii  ilifanyika  ndani  ya  Jiji la Nagoya katika kitongoji cha kanie. Huu ni mwanzo tu  kufanya mkusanyiko wa watanzania waishio Nagoya city na vitongoji vyake, Hivyo tunaomba ushirikiano zaidi na zaidi. Mungu ibariki  Tanzania . Asanteni                                         
Wenu katibu CCM tawi la Nagoya Martin


No comments:

Post a Comment